LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 8, 2020

NEWS ALERT: GARI NDOGO YAGONGA TRENI LEO JIJINI DAR ES SALAAM


 Gari dogo limeigonga Garimoshi lililokuwa linatoka Dar es Salaam kuelekea Mpanda, Kigoma, Mwanza na Tabora. Ajali hiyo imetokea leo Januari 8, 2020 katika eneo la Vigunguti majira ya SAA 2:00 asubuhi ambapo Dereva wa gari dogo amekimbizwa hospitalini kwa matibabu. 

Tutawaletea taarifa zaidi kadiri ya zitakavyopatikana kutoka mamlaka husika

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages