LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 15, 2020

RAIS MAGUFULI AWAKILISHWA NA WAZIRI MKUU UAPISHO WA RAIS WA MSUMBIJI, FILIPE NYUSI




 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, wakati akiondoka nchini, katika uwanja wa Julius Nyerere, kuelekea Msumbiji kumwakilisha Rais John Pombe Magufuli, kwenye uapisho wa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Januari 14, 2020. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages