Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Muanzilishi wa
Mashirikisho ya Amani Duniani, Dkt. Hak Ja Han Moon walipokutana leo
katika hoteli ya Serena ya Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akifurahia jambo na Muanzilishi wa
Mashirikisho ya Amani Duniani, Dkt. Hak Ja Han Moon walipokutana leo
katika hoteli ya Serena ya Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wanne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja
na Muanzilishi wa Mashirikisho ya Amani Duniani, Dkt. Hak Ja Han Moon
(wanne kulia) baada ya kuagana leo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Wengine ni Waheshimiwa wa Bunge
la Tanzania na Maafisa Waandamizi kutoka Mashirikisho ya Amani Duniani.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza jambo na Muanzilishi wa
Mashirikisho ya Amani Duniani, Dkt. Hak Ja Han Moon walipokutana leo
katika hoteli ya Serena ya Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa
Mashirikisho ya Amani Duniani, Ndg. Young Ho Yun.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇