Wizara ya afya ya New Zealand imesema, huenda idadi ya vifo kutokana na mlipuko wa volcano ikaongezeka kufuatia baadhi ya majeruhi kuwa na hali mbaya.
Hivi sasa, watu watano wamethibitishwa kufariki, wanane hawajulikani walipo, na wengine 31 wajeruhiwa wakiwemo raia wawili wa China, huku 27 kati yao wakiwa wameungua vibaya.
Naibu kamishna wa Polisi wa New Zealand, John Tims amesema polisi wameanza kufanya uchunguzi kwenye tukio hilo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇