LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 2, 2019

BONDIA MTANZANIA ATWAA UBINGWA WA MABARA WA GBC BAADA YA KUMPIGA MJERUMANI KWAO

Bondia Mtanzania Hamisi Maya (kulia) akiwa na taji lake la GBC Intercontinental uzito wa Welter baada ya kukabidhiwa kufuatia kumshinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya nne mwenyeji, Piergiulio Ruhe nchini Ujerumani ambaye alikuwa hajawahi kupoteza pambano 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages