LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 14, 2019

HATIMAYE SPEAR PATRICK KIPOPELE ABARIKI NDOA

Mwanahabari Spear Patrick (Machapta) akiwa na mkewe Regina Dinya wakionesha cheti cha ndoa  mara baada ya kukabidhiwa na Mchungaji aliyeibariki ndoa yao katika Kanisa la KKKT Usharika Mteule wa Kivule, Ukonga, Dar es Salaam Jumapili.



Habari wapendwa, Bw & Bi Spear Patrick Kipopele  wanatoa shukrani   kwa wale wote walioshiriki  kufanikisha harusi yao iliyofanyika tarehe 10/11/2019 Kanisa la KKKT Kivule, Dar es salaam.
Shukrani za dhati ziende kwa wote waliotoa michango yao ya hali na mali na Mungu awazidishie pale walipopunguza;
 Wachungaji, viongozi na waumini wa Kanisa la KKKT Kivule, Mama Tumaini, Mzee Majogo,  Mr. Msuya, Amir Mhando, Mama David, Rehema Kionaumela, Profesa Everine Mbede, Willyfred Mushi, Baharia, Mr &Mrs Richard Mwaikenda, Irene Bwire, Leonard Kipopele, Mama Sila, Joseph Chibehe, Dora Mkawo, pamoja na Abdallah Mweri.
Hakika Yesu anaweza, amenitendea jambo kuu

Bibi Harusi Regina akitengezwa shela na matron wake Marry Mwaikenda walipokuwa wakiingia kanisani tayari kubariki ndoa.
Maharusi  Spear Patrick na Regina wakiwa katikapicha ya pamoja na wachungaji waliowafungisha ndoa.
Bibi Harusi Regina akitia saini kwenye cheti cha ndoa
Bwana Harusi Spear Patrick akitia saini kwenye cheti cha ndoa
Waumini wakiwa wakishuhudia ndoahiyo ikifungwa

Wasimamizi wa ndoa hiyo, Richard Mwaikenda na mkewe Marry wakilishana keki kiaina iliyokatwa kanisani kwa ajili ya maharusi, wasimamizi na waumini.
Maharusi wakilishana keki
Mchungaji akiwakabidhi cheti cha ndoa maharusi
Maharusi Spear Patrick na Regina Dinya wakiwa na wasimamizi wao Richard Mwaikenda na Marry Maikenda
Haooo wakiondoka baada ya kubariki ndoa
Wakivishana pete

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages