LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 16, 2019

WAFURIKA BANDA LA TBS KUJUA ELIMU YA VIWANGO KATIKA MAONESHO YA BARAZA LA UWEZESHAJI LA TAIFA MKOANI SIMIYU

 Maafisa wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wakiwapatia elimu ya Viwango wanafunzi wa Shule ya Chekechea  ya Shine Star, walipotembelea Banda la TBS kwenye Maonesho ya Baraza la Uwezeshaji la Taifa yanayoendelea  mkoani Simiyu.
Maafisa wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS), wakiwapatia elimu ya Viwango wanafunzi wa Shule ya Sekondari Simiyu, walipotembelea  jana Banda la TBS kwenye Maonesho ya Baraza la Uwezeshaji la Taifa yanayoendelea  mkoani Simiyu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages