LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 16, 2019

BALOZI WA TANZANIA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA VIETNAM


Balozi wa Tanzania nchini China ambaye anawakilisha pia Jamhuri ya Watu wa Vietnam, Mhe. Mbelwa Kairuki akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Vietnam, Mhe. Nguyen Phu Trong katika Ikulu ya Vietnam leo jijini Hannoi
Balozi wa Tanzania nchini China ambaye anawakilisha pia Jamhuri ya Watu wa Vietnam, Mhe. Mbelwa Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Jamhuri ya Watu wa Vietnam, Mhe. Nguyen Phu Trong katika Ikulu ya Vietnam leo jijini Hannoi.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages