Naibu
Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman akitoa Taarifa kwa Waandishi wa
Habari kuhusiana na uzinduzi wa mkakati wa Kupunguza Vifo vya mama na
mtoto pamoja na Uzinduzi wa Boti ya kuwasaidia Wazazi watakaopata
matatiza katika Visiwa vya Pemba Uzinduzi utakao fanyika 9/10/2019
Zanzibar ,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja
mjini Unguja.
Mratibu
wa Huduma za Mama na Mtoto Wanu Bakari akitoa maelezo kuhusiana na
Uzazi salama katika mafunzo ya Waandishi wa Habari yanayohusu huduma na
kupunguza vifo vya mama na Mtoto katika ukumbi wa Hospitali ya wagonjwa
wa Akili Kidonge Chekundu Zanzibar.
Mkuu
wa kitengo cha Uhamasishaji na Mafunzo ya Uzazi salama Kassim Issa
Kirobo akitoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Uzazi katika
ukumbi wa Hospitali ya wagonjwa wa Akili Kidonge Chekundu Zanzibar.
Mkurugenzi
Kinga na Elimu ya Afya Dk,Fadhil Mohamed Abdalla akitoa hotuba ya
makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Waandishi wa Habari kuhusu
otoaji wa Taarifa ya uzinduzi wa mkakati wa Kupunguza Vifo vya mama na
mtoto pamoja na uzinduzi wa Boti ya kuwasaidia Wazazi watakaopata
matatiza katika Visiwa vya Pemba uzinduzi utakaofanyika 9/10/2019
Zanzibar ,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja
mjini Unguja.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇