LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 15, 2019

INDIA: MTOTO MCHANGA APATIKANA AKIWA AMEZIKWA HAI

Mtoto mchanga wa kike amepatikana akiwa amezikwa hai katika kaburi la kina kifupi kaskazini mwa India.

Mtoto huyo alipatikana na mwanakijiji aliyekuwa ameenda kumzika mtoto wake aliyefariki baada ya kuzaliwa.

Mtoto huyo aliyekuwa amewekwa ndani ya chunguu na kuzikwa katika shimo la futi tatu, alikimbizwa hospitali ambako anapokea matibabu huku uchunguzi kuhusiana na kisa hicho ukiendelea.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages