LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 15, 2019

HONDURAN: LORI LA MAFUTA LAPINDUKA NA KUSABABISHA MOTO ULIOCHOMA NYUMBA 10


Lori la kubebea mafuta limeanguka ndani ya makazi ya watu na kulipuka na kupelekea nyumba 10 kuteketea kwa moto katika mji mkuu wa Honduran wa Tegucigalpa.

Dereva wa gari hilo, Carlos Eleodoro Reyes, mwenye umri wa miaka 54, alifariki katika ajali hiyo katika mji mkuu wa wilaya ya Gerania.

Wengine tisa waliripotiwa kujeruhiwa na moto huo lakini wako katika hali nzuri. Dereva huo alipoteza udhibiti baada ya kugundua kwamba breki za gari lake zilikuwahazifanyi kazi.

Kiwanda cha samani na magari 16 yaliharibiwa na moto huo, kulingana na ripoti za polisi za hapo awali.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages