Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe
akifuatilia kwa makini maonesho ya mavazi wakati wa Tamasha la Utamaduni
wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika
uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akionesha
vazi alilobuniwa na mbunifu wa mavazi wakati wa Tamasha la Utamaduni
wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika
uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wananchi waliohudhuria maonesho ya mavazi wakati wa Tamasha la
Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana
katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mbunifu
mkongwe wa mavazi hapa nchini Tanzania, Mustapha Hassanali akizungumza
wakati wa maonesho ya mavazi katika Tamasha la Utamaduni wa Nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la JAMAFEST nchini Tanzania, Joyce
Fissoo akizungumza wakati wa maonesho ya mavazi katika Tamasha la
Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana
katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya washiriki wa maonesho ya mavazi wakipita jukwaani wakati wa Tamasha
la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana
katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mgeni
rasmi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison
Mwakyembe akifuatilia ratiba kwa makini ya maonesho ya mavazi wakati wa
Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST)
hapo jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa taji la Dunia kwa warembo wasiosikia, Winfrida Brayson aki
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇