Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa majengo ya Chuo cha
Maendeleo ya Wananchi cha Ilula akiwa katika ziara ya wilaya ya Kilolo,
Septemba 27, 2019. Kushoto kwa Waziri Mkuu ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara
ya Elimu, Sayansi na Tekinoloji, Dkt. Avemaria Semakafu na kushoto ni
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happy. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kuweka jiwe la msingi la
mradi wa maji wa Ilula wilayani Kilolo, Septemba 27, 2019. Kushoto ni
mkewe Mary, kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI,
Jasephat Kandege, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happy na
wa pili kushoto ni Mbunge w Kilolo, Venance Mwamoto.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Ilula
wilayani Kilolo, Septemba 27, 2019. Kushoto ni mkewe Mary, kulia ni
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Jasephat Kandege, wa pili
kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happy na wa nne kushoto ni Mbunge
wa Kilolo, Venance Mwamoto.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la
mradi wa maji wa Ilula wilayani Kilolo Septemba 27, 2019. Wa pili kulia
ni mkewe Mary, wa pili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Iringa, Ally Happy na
kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇