Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harison Mwakyembe akikabidhi cheti kwa mwanafunzi Abdulkadri Shayo, wakati wa Mahafali ya 15 ya darasa la saba ya Shule za Bethel Mission ya Ubungo Makuburi na Mahafali ya kwanza ya darasa hilo shule ya Bethel Mission Mbezi Msakuzi, yaliyofanyika kwa pamoja kwenye Shule ya Bethel Mission Ubungo Makuburi, Dar es Salaam, leo,Septemba 8, 2019. Katika Mahafali hayo Wanafunzi 33 wa Bethel School Ubungo na 19 wa Msakuzi walikabidhiwa vyeti. Wanafunzi hao wanatarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba na wenzao wa darasa hilo nchini kote Jumatano ijayo. Wapili kulia ni Meneja wa Bethel Mission School Emmanuel Mshana. KWA PICHA NYINGI ZA MAHAFALI HAYO- BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Sep 8, 2019
Home
featured
KIJAMII
WAZIRI DK. MWAKYEMBE ANOGESHA MAHAFALI YA DARASA LA SABA SHULE ZA BETHEL MISSION. AAHIDI WIZARA KUPIGA JEKI YA SH. MILIONI 5 UJENZI BWALO LA WANAFUNZI
WAZIRI DK. MWAKYEMBE ANOGESHA MAHAFALI YA DARASA LA SABA SHULE ZA BETHEL MISSION. AAHIDI WIZARA KUPIGA JEKI YA SH. MILIONI 5 UJENZI BWALO LA WANAFUNZI
Tags
featured#
KIJAMII#
Share This
About Bashir Nkoromo
KIJAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇