Rais wa Yoweri Museven wa Uganda akiagana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Sept 07,2019 baada ya kukamilisha Ziara yake ya kikazi ya siku Tatu hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Yoweri Museven wa Uganda kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Sept 07,2019 baada ya kukamilisha Ziara yake ya kikazi ya siku Tatu hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Yoweri Museven wa Uganda wakiwapungia mikono Wananchi mbalimbali waliofika kwa ajili ya kumuaga kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam
leo Sept 07,2019 baada ya kukamilisha Ziara yake ya kikazi ya siku Tatu hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsindikiza Rais wa Yoweri Museven wa Uganda kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Sept 07,2019 baada ya kukamilisha Ziara yake ya kikazi ya siku Tatu hapa Nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joice Ndalichako na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Mwaluko Kabudi wakipungia mikono
Ndege iliyombeba Rais Yoweri Museven wa Uganda kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Sept 07,2019 baada ya Rais Museven kukamilisha Ziara yake ya kikazi ya siku Tatu hapa Nchini(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
Your Ad Spot
Sep 7, 2019
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMSINDIKIZA RAIS MUSEVEN
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About khamisimussa77@gmail.com
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇