Makamu wa Rais wa zamani wa Zimbabwe ametangazwa na mamlaka nchini humo kama Mhalifu aliyekimbia.
Gazeti linalomilikiwa na serikali la Herald limesema kwamba Phelekezela Mphoko amekimbia kukamatwa na Kamisheni ya kupambana na rushwa nchini humo, ZACC.
Kiongozi huyo aliyekua madarakani mwaka 2014 hadi 2017 amekua akitafutwa ili kufunguliwa mashtaka ya matumizi mabaya ya ofisi pamoja na rushwa. Aliwahi pia kua balozi akiwakilisha Zimbabwe nchini Afrika ya Kusini, Botswana pamoja na Urusi

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇