LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 4, 2019

WANNE WAFARIKI BAADA YA BOTI KUZAMA

Miili ya watu nane imepatikana baada ya mashua iliyokuwa imebeba zaidi ya watu 50 kuzama mjini Haripur katika mkoa wa Khyber Pakhtunkhwa kaskazini magharibi mwa Pakistan.

Arab Gul, kamishna msaidizi wa jiji hilo, alisema kuwa kifikia sasa watu 15 wameweza kukolewa huku wapiga mbizi wakiendelea na operesheni ya uokoaji,akiongeza kwa kusema kuwa miongoni mwa waliopoteza maisha yao kulikuwa na watoto wanne.

Gul alisema kuwa mashua hiyo ilikuwa imebeba takriban watu 60 ikiwa ni pamoja na wanawake na watoto wakati ajali hiyo ilitokea kutokana na mawimbi ya juu.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages