Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza Peter Crouch ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na miaka 38.
Crouch ambaye amefunga jumla ya magoli 108 kwenye ligi Kuu ya Uingereza katika michezo 468 akiwa na vilabu saba tofauti na kufanikiwa kucheza timu ya taifa ya Unigereza michezo 42 na kushinda magoli 22.
Vilabu alivyowahi kuchezea ni pamoja na Tottenham, QPR, Portsmouth, Aston Villa, Southampton, Liverpool, Stoke na Burnley.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇