LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 5, 2019

MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KWENYE MAONESHO YA SABASABA.

Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda, akipata maelezo kutoka kwa Afisa Masoko wa Bodi ya Nyama Tanzania, Nicholai Chiweka wakati akitembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa ya 43 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl. Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.

 
Pinda akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi msaidizi (uvuvi) Antony Dadu kuhusu bidhaa zitokanazo na zao la mwani alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa ya 43 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl. Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.


Pinda akisaini kitabu cha wageni cha Bodi ya Maziwa wakati akitembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo kwenye maonesho ya biashara ya Kimataifa ya 43 yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwl. Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages