Watu wapatao 78 wamepoteza maisha yao ndani ya siku mbili kutokana na wimbi la joto ambalo limeenea katika maeneo kadhaa nchini India.
Afisa mkuu wa usimamizi wa maafa Bihar-India, Pratyaya Amrit, aliiambia Xinhua kuwa wimbi la joto limeenea kutoka siku ya Jumamosi na Jumapili. Vifo vilirepotiwa kutoka wilaya za Aurangabad, Gaya, Nawada na Jamui.
Serikali za mitaa imetoa ushauri kwa watu katika wilaya zilizoathiriwa kubaki ndani ya nyumba wakati wa mchana, hutumia maji mengi na kuzuia shughuli za ujenzi wakati wa mchana.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇