Katambi amesema tayari ametoa maagizo kwa uongozi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuondoa mabehewa mawili yaliyodondoka na kurekebisha sehemu ya reli iliyopata hitilafu.
"Majeruhi wote wamepelekwa katika hospitali ya Mkoa wa Dodoma, na wanaendelea na matibabu zaidi. Tumeshawatafutia usafiri abiria wote na haya mabehewa mawili yanatafutiwa utaratibu wa matengenezo,” amesema Mkuu huyo wa Wilaya.
Watu 29 wamejeruhiwa jijini Dodoma katika ajali iliyohusisha lori na treni. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇