Jun 12, 2019

IDADI YA MELI YAONGEZEKA BANDARI YA KIGOMA

Idadi ya meli zinazohudumiwa katika Bandari ya Kigoma zimeongezeka katika kipindi cha miaka mitano kutoka meli 296 mwaka 2013/14 hadi meli 434 mwaka 2017/18.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages