LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 17, 2019

WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI TATU KUZUNGUMZI UWEKEZAJI, LEO

 Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angellah Kairuki akifafanua jambo kuhusu sekta ya uwekezaji nchini kwa Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, Frederic Clavier alipomtembelea leo  Ofisini Kwakwe Jijini Dar es Salaam. 
 Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu, Angellah Kairuki akifafanua jambo kuhusu sekta ya uwekezaji nchini kwa Balozi wa Norway nchini, Elisabath Jacobsen walipokuatana leo Ofisini kwakwe Jijini Dar es Salaam.Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angellah Kairuki, akiagana na Mgeni wake,
Balozi wa Norway nchini, Elisabath Jacobsen, baada ya mazungumzo mafupi kuhusu sekta ya uwekezaji yalifanyika Ofisini Kwakwe Jijini Dar es Salaam. 
 Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angellah Kairuki, akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo kutoka Marekani USAID, Andy Karas katika mazungumzo mafupi yalifanyika Ofisini Kwakwe Jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Nchi-Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angellah Kairuki akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini, Jeroen Verheul, alipomtembelea Ofisini Kwakwe Jijini Dar es Salaam. Picha na Paschal Dotto-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages