LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 17, 2019

WANAOPATA MIMBA GEREZANI HUPEWA NA NANI WAKATI HULINDWA NA ASKARI WAKIKE?: MBUNGE

Mbunge wa Konde Khatibu Said Haji, amemuuliza swali Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, kuhusu wafungwa ambao hupata ujauzito wakiwa magerezani ilihali hulindwa na maaskari wa kike.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages