Mtoto wa marehemu Waziri Mkuu wa zamani Edward Moringe Sokoine, Joseph Sokoine, amesema kuwa baba yake alikuwa ni mtu wa kufanya kazi sana bila kuchoka na kwa ajili ya ustawi wa kila mtu na watu wake na alikuwa anasema "Uongozi ni utumwa na siyo Ufalme."
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇