IkuluNdogo,
Mbeya.
Rais Dkt. John PombeMagufuli amemteua Dkt. Moses Mpogole Kusiluka
kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania
(TASAF).
Wajumbe wa Kamati ya Taifa ya Uongozi ya TASAF ni; Balozi Zuhura Bundala, Dkt.
Dorothy O. Gwajima, Dkt. Charles Mwamwaja, Dkt.
Ruth Rugwisha, Dkt.
Naftali Ng’ondi, Mhandisi
Hussein Mativila na Richard Shilambo
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi imeeleza kuwa uteuzi huu umeanza tarehe 23 Aprili, 2019.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇