Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Spika wa
Bunge la Tanzania, Job Ndugai, wakati akiwasili katika uwanja wa Jamhuri jijini
Dodoma, Aprili 26, 2019, kushuhudia mpira kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kutoka kushoto ni
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi, Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar, Zubeir Ali Maulid, Mbunge wa Viti maalum, Salma Kikwete.
Majaliwa, akiwapa mkono Wabunge wa
Bunge la Tanzania, wakati akikagua timu katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma,
katika mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Aprili 26, 2019.
Majaliwa, akiwapa mkono Wabunge wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati akikagua timu katika uwanja wa Jamhuri
jijini Dodoma, katika mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Aprili 26, 2019.
PMO_8183 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akirusha shilingi kabla ya
mechi kuanza, kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini
Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Majaliwa, akipuliza firimbi, kwenye Mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la
Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma,
Aprili 26, 2019.
Mbunge wa Jang’ombe Ali King, akicheza mpira wa juu, katika mechi
ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi
Zanzibar, iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akioneshwa jambo na Spika
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zubeir Ali Maulid, kwenye kati ya Wabunge wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar,
iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019.
Wabunge wakiangalia mechi kati ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliyofanyika katika
uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇