Rais Dkt. John Magufuli akivuta utepe pamoja
na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kuashiria ufunguzi wa Jengo la Ofisi za NHIF
lililopo jijini Mbeya leo tarehe 26/04/2019.
Dkt. Magufuli akimpongeza Waziri wa Afya Ummy
Mwalimu mara baada ya kufungua Jengo la Ofisi za NHIF lililopo jijini Mbeya leo
tarehe 26/04/2019.
Dkt. John Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko huo wa Bima ya Afya Anna Makinda
akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Jengo hilo.
Magufuli akitoka kwenye jengo hilo la
NHIF mara baada ya kulifungua.
Dkt. Magufuli akiwapungia na kuwashukuru
wananchi wa Mbeya waliokusanyika katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya
mara baada ya kuwasili.
Sehemu ya Wananchi wa Mbeya waliohudhuria
Mkutano wa hadhara katika viwanja vya Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya.
Dkt. Magufuli akihutubia wananchi wa
Mbeya katika viwanja vya Ruanda Nzovwe.
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa
na wananchi wengine akifatilia hotuba ya Rais Dkt. Magufuli katika Viwanja vya
Ruanda Nzovwe mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇