Gari ya mwendokasi yenye namba za usajili T 873 DGV limedaiwa kusababisha ajali kutokana na mwendo mkali katika eneo la mataa ya Magomeni Mapipa ambapo limeligonga gari aina ya Toyota March lenye namba za usajili T 968 DNZ na dereva wa gari hilo kudaiwa kufariki papo hapo kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo
Your Ad Spot
Apr 19, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇