Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2019/2020 mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), wakati wa kikao kati ya kamati hiyo na Wizara kilichofanyika kwenye Ofisi za Bunge, Dodoma leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhan Mwinyi.
Your Ad Spot
Mar 22, 2019
Home
Unlabelled
WAZIRI PROFESA KABUDI AWAKILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA WIZARA YAKE KWA MWAKA WA FEDHA WA 2019/20.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇