Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) inatarajiwa kutimua vumbi tena leo ambapo leo timu nane sitashuka dimbani kusaka pointi tatu. Chini ni ratiba ya michezo ya leo iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇