LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 9, 2019

RAIS MAGUFULI ASHEREHEKEA MWAKA MPYA NA MABALOZI





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amekutana na kuzungumza na  Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini katika Sherehe za Mwaka mpya 2019 kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) zilizofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages