Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Dkt.Faustine Ndugulile ameongoza timu ya wataalam kutoka Tanzania katika
mkutano wa Kanda wa Nchi nufaika wa fedha za Kupambana na Kudhibiti
Ugonjwa wa UKIMWI nchini Africa Kusini.
Mkutano huo utawezesha Tanzania kunufaika na fedha za kununua dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI, vitendanishi pamoja na vifaa tiba mbalimbali vya kupambana na maradhi ya UKIMWI kwa mwaka 2019/2020
Mkutano huo umehudhuriwa na Balozi Deborah Birx ambaye ndiye mratibu mkuu wa fedha za kupambana na kudhibiti UKIMWI nchini Marekani kwa nchi zote nufaika na Balozi wa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania.

No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇