LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 8, 2019

WIZARA YAKUTANA NA WATAALAM WA MAENDELEO YA JAMII, USTAWI WA JAMII NA ELIMU MKOANI NJOMBE WAWEKA MIKAKATI YA KUTOA ELIMU KWA JAMII

 Kiongozi wa Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Hanifa Selengu (kulia) akizungumza jambo na Wataalam kutoka Halmashauri ya Mji wa Njombe na halmashauri ya Wilaya ya Njombe katika ujio wa timu hiyo kuunganisha nguvu na Serikali ya Mkoa katika kupata namna bora ya kukomesha mauaji ya watoto yaliyotokea mkoani njombe.

 Afisa Maendeleo ya jamii wa Mkoa wa Njombe Bw. Cassian Nkunga akichangia hoja katika kikao kazi kilichowakutanisha Wataalam kutoka Idara za Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Elimu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Njombe na Halmashauri ya Mji wa Njombe na Timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)  kwa lengo la kuunganisha nguvu na Serikali ya Mkoa katika kupata namna bora ya kukomesha mauaji ya watoto yaliyotokea mkoani Njombe.

 Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Bw.Abraham Kaaya akichangia hoja katika kikao kazi kilichowakutanisha Wataalam kutoka Idara za Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Elimu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Njombe na Halmashauri ya Mji wa Njombe na Timu kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)  kwa lengo la kuunganisha nguvu na Serikali ya Mkoa katika kupata namna bora ya kukomesha mauaji ya watoto yaliyotokea mkoani Njombe.
Afisa Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Mji wa Njombe Bi. Enembora Lema akichangia hoja katika kikao kazi kilichowakutanisha Wataalam kutoka Idara za Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Elimu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Njombe na Halmashauri ya Mji wa Njombe na Timu kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)  kwa lengo la kuunganisha nguvu na Serikali ya Mkoa katika kupata namna bora ya kukomesha mauaji ya watoto yaliyotokea mkoani Njombe.

 Afisa Ustawi wa Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Bw. Averino Chaula akichangia hoja katika kikao kazi kilichowakutanisha Wataalam kutoka Idara za Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Elimu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Njombe na Halmashauri ya Mji wa Njombe na Timu kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)  kwa lengo la kuunganisha nguvu na Serikali ya Mkoa katika kupata namna bora ya kukomesha mauaji ya watoto yaliyotokea mkoani Njombe.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages