LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 7, 2019

RAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA EU HAPA NCHINI, MJUMBE MAALUMU WA RAIS WA ZIMBABWE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Charles Stuart aliyemtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019
: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akizungumza na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza jambo kabla ya kuagana na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akiagana na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Charles Stuart baada ya mazungumzo yao, Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Pretence Shiri, alipokutana naye na kufanya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Pretence Shiri, alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019,  Kushoto ni Kaimu Balozi wa Zimbabwe hapa nchini Martin Tavenyika 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akiagana na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Pretence Shiri, baada ya mazungumzo yao, Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019. Kushoto ni Kaimu Balozi wa Zimbabwe hapa nchini Martin Tavenyika Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages