LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 1, 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA AUANGANA NA WANAKIJIJI WENZAKE HUKO NAMAHEMA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2019

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa , mkesha wa mwaka  mpya  kushiriki katika   Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba Mungu aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa mkesha wa mwaka mpya, kushiriki katika Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama saa wakati alipojumuika na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa katika mkesha wa mwaka mpya kushiriki Dua ya  kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba Mungu aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na ndugu, jamaa na marafiki waliofika nyumbani kwake katika kijiji cha Namahema wilayani Ruangwa , mkesha wa mwaka  mpya  kushiriki katika   Dua ya kumshukuru Mungu kwa kuwajalia watanzania na viongozi wao kuumaliza salama mwaka 2018 na kumuomba Mungu aendelee kulilinda taifa letu na viongozi wake kwa mwaka 2019.(PICHA NA OWM)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages