LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 31, 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA MKE WA SHEIKH MKUU WA TANZANIA, MKOANI TANGA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishiriki katika sala ya jeneza  wakati wa mazishi ya Hidaya Omar, Mke wa Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubeir  (kushoto kwa Waziri Mkuu) yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe, leo, Januari 31, 2019. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Sheikh Mohammed Kigoda aliyeongoza sala hiyo na kushoto ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam,  Alhad Mussa Salum.


No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages