LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 31, 2019

CHARLES KITWANGA AHAMISHIWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI



Spika wa Bunge Job Ndugai, akiagana na Mbunge wa Misugwi Charles Kitwaga katika Uwanja wa Ndege Jijini Dodoma, kabla ya kusafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa  ajili ya matibabu zaidi. Kulia kwa Spika ni Naibu wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula na kushoto kwa Spika ni Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai.PICHA NA BUNGE

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages