LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 8, 2019

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, APOKEA MAANDAMANO YA AMANI YA VYAMA VYA WAFANYAKAZI.

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano wa wafanyakazi maarufu kama (solidarity forever) kwenye maandamano ya amani ya vyama vya wafanyakazi, yaliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma, Januari 7, 2019.

 Makamu wa Rais TUCTA Qambos Sule, akizungumza mbele ya watumishi katika maandamano ya amani ya vyama vya wafanyakazi kwenye viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma, Januari 7, 2019. 

Katibu Mkuu wa TUCTA Dkt. Yahya Msigwa akizungumza mbele ya watumishi katika maandamano ya amani ya vyama vya wafanyakazi kwenye viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma, Januari 7, 2019. 

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akizungumza kwenye maandamano ya amani ya vyama vya wafanyakazi katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma, Januari 7, 2019. 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwahutubia watumishi katika maandamano ya amani ya vyama vya wafanyakazi kwenye viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma, Januari 7, 2019. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages