LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 17, 2019

MWILI WAOKOTWA MTARONI DARA

Mwili wa mtu mmoja umeokotwa eneo la sayansi jirani na Chuo cha Ustawi wa jamii ukiwa umefungwa kwenye kiroba.

 
Kwa mujibu wa ITV, Mjumbe wa mtaa huo Bi Fortunata Mshindo  amesema   jana mchana yeye na wananchi wengine walipita katika eneo hilo na hakukua na kitu chochote huku pia akisisitizia uongozi wa manispaa kuweka taa katika eneo hilo ili kupunguza matukio ya kihalifu.

Maafisa wa Jeshi la Polisi walifika eneo la tukio wakauchukua mwili huo kwa uchunguzi zaidi

Chanzo ITV

Advertisement

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages