LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 3, 2018

WAKUU WA IDARA UVCCM WAFANYA ZIARA GROBAL PUBLISHERS GROUP.

  Katibu Wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg Hassan Bomboko akizungumza wakati wa mazungumzo na Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Michezo yanayozalishwa na Global Publisher leo katika ziara ya kuimarisha mahusiano baina ya UVCCM na Global Publishers Group.

  Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Michezo yanayozalishwa na Global Publisher akizungumza wakati wa mazungumzo na wakuu wa Idara za UVCCM leo katika Ziara ya  kuimarisha mahusiano baina ya UVCCM na Global Publishers Group.
Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni ,Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg Peter Kasela akiagana na Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Michezo yanayozalishwa na Global Publisher Ndg All Saleh leo katika Ziara ya  kuimarisha mahusiano baina ya UVCCM na Global Publishers Group.
 
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino Global Publisher akitoa ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali ya kitengo hicho katika Ziara yawakuu wa Idara za UVCCM kuimarisha mahusiano baina ya UVCCM na Global Publishers Group.
 Mkuu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu (Watatu toka kulia) ndg Kamana Juma Simba akizungumza 
 Mkurugenzi wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo akizungumza  na wakuu wa Idara za UVCCM leo katika Ziara ya  kuimarisha mahusiano baina ya UVCCM na Global Publishers Group.
 Katibu Wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg Hassan Bomboko akizungumza wakati wa mazungumzo na Mkurugenzi wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo ofisini kwake leo katika ziara  ya  kuimarisha mahusiano baina ya UVCCM na Global Publishers Group.
  Mkuu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu (Watatu toka kulia) ndg Kamana Juma Simba akiagana na Mkurugenzi wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo
  Katibu Wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg Hassan Bomboko akizungumza wakati wa mazungumzo na kuagana na Mkurugenzi wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo katika ziara  ya  kuimarisha mahusiano baina ya UVCCM na Global Publishers Group.
 Picha za Matukio mbali mbali wakati wa Mahojiano leo
 Picha ya Pamoja ya Wakuu wa Idara Maafisa wa makao makuu ya Uvccm pamoja na Mtangazaji wa Global Tv ndg Catherin Kahabi(Picha Zote na Fahadi Siraji wa UVCCM)

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages