LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 1, 2018

TAARIFA YA VIKAO VYA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA

UMOJA WA WAZAZI TANZANIA
Jumuiya ya CCM
MAKAO MAKUU

Taarifa
Umoja wa WAZAZI Tanzania utakuwa na vikao vyake vya Kawaida kuanzia Tarehe 01/09/2018-04/09/2018 Vya Kamati ndogondogo,Kamati ya utendaji na Kamati ya Utekelezaji TAIFA Vikao Hivi Vinafanyika Kwa Mujibu wa KANUNI ya Jumuiya ya WAZAZI.

Vikao Hivi Vitafanyikia Zanzibar, Wenyeviti wa Kamati ndogondogo wao Wataendesha vikao hivyo,Isipokuwa Kamati ya utendaji ya WAZAZI TAIFA Kwa Uenyekiti Wa KATIBU MKUU TAIFA 
Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu LA WAZAZI TAIFA itaendeshwa na MWENYEKITI wa WAZAZI TAIFA Ambaye ndiye Atakuwa Mkiti wa KIKAO Hicho.

Agenda Mbalimbali Zitajadiliwa Kwenye Vikao hivyo na Kutolewa Maamuzi pamoja na Mapendekezo,

Chollaje Mohamedi Ally chollaje
Katibu wa Siasa na Oganazesheni WAZAZI TAIFA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages