Ibada ya kumuaga marehemu Profesa Emil N Kikwilu ilipofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kimara Dar es Salaam
Waombolezaji wakiuingiza Mwili wa marehemu Profesa Emil Kikwilu Kanisani kwa Ibada
Waombolezaji wakimfariji mke wa marehemu Profesa Emil Kikwilu, Jane Kikwilu (wa tatu kushoto) katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kimara
Mke wa marehemu Profesa Emil Kikwilu, Jane Kikwilu akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa mmewake (mwenye kitamba cheupe)
Watoto wa marehemu Profesa Emil Kikwilu wakitoa heshima za mwisho katika jeneza lenye mwili wa baba yao
Baadhi ya viongozi waenzake na marehemu, Profesa Emil Kikwilu wakiwa nyumbani kwa marehemu ambapo ndipo alipohifadhiwa katika nyumba yake ya milele
Baadhi wa waombolezaji
Baadhi ya wafanyakazi wenzake marehemu
Waombolezaji wakiuhifadhi katika nyumba yake ya milele mwili wa aliyekuwa Profesa Mhadhiri wa Skuli ya Meno Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Emil Namakuka Kikwilu nyumbani kwake eneo la Michungwani, King'ongo Kimara Dar es Salaam Agosti 31, 2018
Mke wa marehemu Profesa, Emil N Kikwilu. Jane Kikwilu akiweka udongo katika kaburi
Mke wa marehemu Profesa, Emil N Kikwilu. Jane Kikwilu akiweka shada la UA katika kaburi
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo na Taaluma- utafiti na Ushauri wa Kitaifa, Profesa Appolinary Kamuhambwa akiweka shada la UA katika kaburi la marehemu Profesa, Emil N Kikwilu nyumbani kwa marehemu ambapo alipohifadhiwa katika nyumba yake ya milele
Rais mwandamizi Chama cha Madaktari wa Afya ya Kinywa na Meno Tanzani, Deogratias Kisala akiweka shada la UA katika kaburi la marehemu Profesa, Emil N Kikwilu na akisindikizwa na mweka hazina Chama hicho, Dkt. Anold Mtenga (kushoto) mwenye miwani
Baadhi ya Maprofesa na madaktari waliokuwa wakifanya kazi na marehemu, Profesa, Emil N Kikwilu. wakiongozwa na Profesa, Bakari Lembariti ambaye ni Kaimu mwenyekiti Taasisi ya Mifupa MOI, (wa saba kushoto) mwenye shati nyeusi
Baadhi ya madaktari waliokuwa wakifanya kazi na marehemu, Profesa, Emil N Kikwilu. wakiongozwa na mweka hazina Chama hicho, Dkt. Anold Mtenga (wa tatu kushoto)
Madaktari na wafanyakazi wenzake na maremu Profesa Emil Kikwilu wakiwa mbele ya kaburi wakitaka kuweka maua katika kaburi hilo
Mkuu wa Skuli ya Afya ya Kinywa na Meno (MUHAS), Dkt. Elison Simon akiweka shada la UA kwa aliyekuwa Profesa Mhadhiri wa Skuli ya Meno Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Emil Namakuka Kikwilu nyumbani kwake eneo la Michungwani, King'ongo Kimara Dar es Salaam Agosti 31, 2018
Wafanyakazi wenzake na maremu Profesa Emil Kikwilu wakiwa mbele ya kaburi wakitaka kuweka maua katika kaburi hilo
Wafanyakazi wenzake na maremu Profesa Emil Kikwilu wakiweka maua katika kaburi hilo
Wafanyakazi wenzake na maremu Profesa Emil Kikwilu wakiweka maua katika kaburi hilo wakiongozwa na Ofisa Habari na Mawasilino ya Umma MUHAS, Helen Mtui (wa pili kushoto)
Madaktari waliosoma pamoja na marehemu, Profesa Emil Kikwilu wakiweka shada la UA katika kaburi (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇