LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 17, 2018

SERIKALI UGANDA YAUTAKA UMOJA WA ULAYA USIINGILIE MAMBO YAKE YA NDANI

Serikali ya Uganda imeulalamikia vikali Umoja wa Ulaya na kuutaka uache tabia yake ya kuingia mambo ya ndani ya nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Taarifa ya serikali ya Uganda imeeleza kuwa, umoja huo unapaswa kutambua kwamba, Uganda ni nchi huru na yenye kujiamulia mambo yake. Kwa taarifa zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail….

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages