Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima (kulia), akimnadi mgombea Udiwani wa CCM, katika Kata ya Vingunguti, Omari Kumbilamoto, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika eneo la Viwanja Vingi, Kwa Kombo Kata ya Vingunguti, Ilala, jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima (kulia), akimnadi
mgombea Udiwani wa CCM, katika Kata ya Vingunguti, Omari Kumbilamoto, kwenye mkutano wa
kampeni uliofanyika jana katika eneo la Viwanja Vingi, Kwa Kombo Kata ya
Vingunguti, Ilala, jijini Dar es Salaam
Mgombea Udiwani wa CCM, katika Kata ya Vingunguti, Omari Kumbilamoto, akiomba kura kwa wananchi kwenye mkutano wa
kampeni uliofanyika jana katika eneo la Viwanja Vingi, Kwa Kombo Kata ya
Vingunguti, Ilala, jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima (kushoto), na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Mkoa wa Dar es Salaam, Frank KIalokola wakishangilia wakati mgombea Udiwani wa CCM, katika Kata ya Vingunguti, Omari Kumbilamoto, akiomba kura kwenye mkutano wa
kampeni uliofanyika jana katika eneo la Viwanja Vingi, Kwa Kombo Kata ya
Vingunguti, Ilala, jijini Dar es Salaam
Kinamama wa CCM wakimsindikiza kwenda jukwaani, Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CCM Omari Kumbilamoto wakati akienda kuhutubia jukwaani.
Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima (kulia), akimuombea kura mgombea Udiwani wa CCM, katika Kata ya Vingunguti, kwenye mkutano wa
kampeni uliofanyika jana katika eneo la Viwanja Vingi, Kwa Kombo Kata ya
Vingunguti, Ilala, jijini Dar es Salaam
"Hii ndiyo ilani ya CCM inayotekelezwa", Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima (kulia), akimuombea kura
mgombea Udiwani wa CCM, katika Kata ya Vingunguti, Omari Kumbilamoto, kwenye mkutano wa
kampeni uliofanyika jana katika eneo la Viwanja Vingi, Kwa Kombo Kata ya
Vingunguti, Ilala, jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Lugano Mwafongo.
Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Erasto Sima akienda kupanda jukwaani kumnadi mgombea Udiwani wa CCM, katika Kata ya Vingunguti, Omari Kumbilamoto kwenye mkutano wa
kampeni uliofanyika jana katika eneo la Viwanja Vingi, Kwa Kombo Kata ya
Vingunguti, Ilala, jijini Dar es Salaam.
Wananchi wakiwa kwen ye mkutano huo
Burudani
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Lugano Mwafongo akizungumza kumkaribisha Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo ili kukamilisha itifaki ya kumwita jukwaani mgebni rasmi wakati wa kampeni hizo.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam, Frank KIalokola wakizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Erasto Sima kundani mgombea Udiwani wa CCM, katika Kata ya Vingunguti, Omari
Kumbilamoto, kwenye mkutano wa
kampeni uliofanyika jana katika eneo la Viwanja Vingi, Kwa Kombo Kata ya
Vingunguti, Ilala, jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo
Erasto Sima (kulia) akisaini kitabu cha Wageni baada ya kuwasili kwenye mkutano mkutano wa
kampeni uliofanyika jana katika eneo la Viwanja Vingi, Kwa Kombo Kata ya
Vingunguti, Ilala, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Siasa na Oganaizesheni wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Chollaje Mohammed Chollaje. PICHA NYINGI ZAIDI>BOFYA HAPA
Your Ad Spot
Sep 6, 2018
Home
Unlabelled
KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI AMNADI KUMBILAMOTO, UDIWANI VINGUNGUTI, DAR ES SALAAM
KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI AMNADI KUMBILAMOTO, UDIWANI VINGUNGUTI, DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇