Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Raymond Mwangwala akiwa na wakuu wapya wa Idara wa Umoja wa huo wa Vijana walipowalisi katika Ukumbi wa Mikutano katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu UVCCM Upanga jijini Dar es Salaam, leo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Raymond Mwangwala akizungumza na watumishi wa Makao Makuu ya UVCCM, wakati akiwatambulisha wakuu wapya wa Idara za Umoja huo walioteuliwa na kuthibitishwa na Baraza Kuu la UVCCM, jijini Dodoma wiki iliyopita
Wakuu wa Idara za Makao Makuu ya UVCCM wakifuatilia mazungumzo ya Katibu Mkuu wa UVCCM Raymond Mwangwala alipokuwa akiwatambulisha kwa watumishi wa UVCCM makao makuu.
watumishi wa UVCCM makao makuu wakifuatilia kwa makini mazungumzo ya Katibu Mkuu wa UVCCM Mwl Raymond Mwangwala (MNEC) alipokuwa akiwatambulisha wakuu wa idara za UVCCM makao makuu kwao
Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni na Siasa Ndg Peter Kasela akizungumza na watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndg.Hassan Bomboko akizungumza na watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg Kamana Juma Simba akizungumza na watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu wa Idara ya Uchumi na Uwezeshaji Ndg.Nelson Lusekelo akizungumza na watumishi wa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM leo wakati wa kutambulishwa Kwa watumishi wa Makao makuu ya UVCCM
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala (MNEC) akiwakabidhi Mpangokazi wa Utekelezaji wa UVCCM Mwaka 2018/2019
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mwl Raymond Mwangwala (MNEC) akiwaongoza wakuu wa Idara za Makao makuu ya Umoja wa Vijana wakati akiwatembeza maeneo mbali mbali ya Ofisi ndogo ya Makao makuu ya UVCCM Upanga Dar es Salaam(Picha na FahadiSiraji wa UVCCM)
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇