Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Jerry Muro amekabidhi Pikipiki Mpya 18 kwa Waratibu wa Elimu katika Halmashauri ya Arusha DC iliyoko katika Wilaya ya Arumeru.
Mhe Muro amekabidhi PIKIPIKI hizo kutoka Wizara ya Elimu ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Awamu ya Tano Chini ya Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kufuatilia Ubora wa Elimu Nchini.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇