Janeth Kazungu akiwa katika pozi baada ya kupokea Ekaristi Takatifu katika kanisa la Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili ambapo zaidi ya watoto 60 wamepokea
James Kazungu akiwa katika pozi mara baada ya kupokea Ekaristi Takatifu katika kanisa la Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili ambapo zaidi ya watoto 60 wamepokea |
Paroko wa Kanisa la Roman Catholic la Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili, Father William (wapili aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na watoto hao
Dokt Mwandamizi wa Taasisi ya Mifupa (MOI) Daktari Paul Kazungu (kushoto) aliyempakata mtoto akifUatilia jambo wakati watoto Wao walipokuwa wakipokea Ekaristi Takatifu katika kanisa la Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili ambapo zaidi ya watoto 60 wamepokea
Janeth Kazungu katika pozi na mdogo wake Julieth mara baada ya kupokea Ekaristi Takatifu katika kanisa la Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili ambapo zaidi ya watoto 60 wamepokea
Mwalimu victoria Kazungu akimvisha taji mtoto wake, James Kazungu mara baada ya kupokea Ekaristi Takatifu katika kanisa la Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili ambapo zaidi ya watoto 60 wamepokea
Daktari Mwandamizi wa Taasisi ya Mifupa (MOI) Dkt,Paul Kazungu akivisha taji mtoto wake, Janeth Kazungu mara alipo pokea Ekaristi Takatifu katika kanisa la Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili ambapo zaidi ya watoto 60 wamepokea
Julieth Kazungu (2) akimvisha taji dada yake, Janeth Kazungu mara baada ya kupokea Ekaristi Takatifu katika kanisa la Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili ambapo zaidi ya watoto 60 wamepokea
Julieth Kazungu (2) akimwambia jambo dada yake Janeth Kazungu mara baada ya kupata Ekaristi Takatifu katika kanisa la Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili ambapo zaidi ya watoto 60 wamepokea
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇