Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, JInsia, Wazee na Watoto Dk. Faustine Ndugulile akizindua Mpango wa mafunzo kwa wanafunzi na walimu ili kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia shuleni katika Shule ya Sekondari Mwisenge iliyopo Wilaya ya Musoma mkoani Mara.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇