LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 19, 2018

MAMIA YA WATALII WAVUTIWA NA HIFADHI YA TAIFA YA WANYAMA YA TARANGIRE MKOANI MANYARA

 Hifadhi ya Taifa ya Tarangire ipo upande wa Kusini Mashariki mwa Ziwa Manyara. Hifadhi hii yenye ukubwa wa kilomita za mraba 2,850 inaweza kufikika kwa urahisi kutoka Arusha ni umbali wa kilometa 118 kupitia barababra ya lami ya Arusha-Dodoma. 
Nyani wakicheza
Mmoja wa wafanyakazi kwenye hifadhi
Mbuyu unaosadikiwa kuwa na umri wa miaka 800
Mkeka wa Arusha-Dodoma
Eneo la Minjingu
Bango likikualika Tarangire
Mtalii akijadiliana bei na mchuuzi wa vitu vya sanaa
Wananchi wakiendelea na maisha
Misuli na fulana sokoni
Mtalii kutoka China akiwa anatafuta picha nzuri
".....Haya piga fasta basi...."
Watalii wakijiandaa kwenda hifadhini
Watalii hifadhini
Ngedere akidowea chakula. Hata hivyo ni marufuku kulisha wanyama hifadhini kuepusha janga la maradhi
Vijana wwakicheza kabla ya kuingia hifadhini

Mhifadhi  Tarangire National Park
































No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages